

Bwaana Gratian Mkoba. Ofisini kwake Makao Makuu ya Chama hicho leo mchana. Mazungumzo yalihusu masuala ya ushirikiano hususan katika eneo la mafunzo kwa walimu. Bi. Gunnel lifstead kutoka Sweden ni Mjumbe wa Bodi ya Chama cha Walimu nchini Sweden na aliwahi kuwa Makamu wa Rais wa chama hicho cha walimu cha nchini Sweden.



Kama watanzania waliopata kufundishwa na Mwl. Nyerere mi pia najivunia kuwa Mr. Mukoba alikuwa mwalimu wangu (simlinganishi na Mwalimu Nyerere). He is THE BEST TEACHER I'VE EVER HAD -- hands down. Natumai anatimiza majukumu na malengo ya uongozi wake vyema.