
... Yes, Sir!
Date: Tue Jul 21, 08:43:00 AM EAT,
Date: Tue Jul 21, 10:43:00 AM EAT,
Anahitajika mfanyakazi (nafasi Moja) katika duka la vifaa vya shule na maofisini la Jumla na rejereja. Jina la duka ni Fayall shop lililoko Kariakoo. Sifa zinazotakiwa: Elimu ya kidato cha nne na ujuzi wa Computer. Umri kuanzia miaka 20 na kuendelea . Kama unasifa hizo tuma maombi kwa meneja wa duka ,P.o box 10503 Dar es Salaam au piga simu uliza meneja wa duka katika namba ifuatayo 0753 631626. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15 mwezi wa nane 2009
Date: Fri Jul 24, 07:24:00 PM EAT,
SASA YESU ANANGUVU KULIKO MUNGU