Date: Fri May 16, 07:54:00 PM EAT, Anonymous
hii imepigwa na Kaka Mjengwa, manake siku za karibuni alikuwa anaripoti tokea Dar.
Date: Sat May 17, 02:07:00 AM EAT, Anonymous
Hii picha ya longtime maana huyo mmoja wao hapo tunaye huku UK anakaribia mwaka sasa anabeba box TNT
Date: Sat May 17, 09:43:00 AM EAT, Anonymous
Hii picha ilipigwa na Michuzi mkubwa ila kitambo kweli,sijui kama kumbukumbuku zangu ziko sawa.
hii imepigwa na Kaka Mjengwa, manake siku za karibuni alikuwa anaripoti tokea Dar.