GAZETI LA UCHAMBUZI MAKINI LENYE KUIHUSU NA KUIGUSA JAMII. NI GAZETI LA KILA WIKI. LITAANZA KUONEKANA MITAANI JUMANNE, MACHI 31, 2009. USIKOSE NAKALA YAKO!
Friday, May 16, 2008
Magomeni Mapipa Hapa!
Hivi majuzi.
 
©Maggid | Date:16.5.08 | Permalink| | Send To Your Friend |


Comment: 6


  • Date: Fri May 16, 12:59:00 PM EAT, Anonymous Anonymous

    Sasa hawa wanacheza draft kazi wanafanya saa ngapi? Ukiwaita vibaka, wanagomba, lakini kwa mizinga hawa, "anko! Jiti!" Pumbavu kafanyeni kazi huko.

     
  • Date: Fri May 16, 04:42:00 PM EAT, Anonymous Anonymous

    wewe panya unayepayuka hapo juu hata sijui nikuanzie wapi. Kwa ufupi wewe huna akili, kima wee

     
  • Date: Sat May 17, 12:40:00 PM EAT, Anonymous Anonymous

    Kama wewe umeweza kuelewa lugha ya Kima na wewe Kima, tatizo shule, kama Kima ungeelewaje Kima anachoongea. Huna akili pumbavu wewe. Fanya kazi

     
  • Date: Sat May 17, 12:41:00 PM EAT, Anonymous Anonymous

    Wewe mtowa post wa kwanza wewe kweli pimbi!kwataarifa yako hao jamaa ni chapa kazi wa nguvu ila hizo kazi hazipo sasa wafanye kazi gani wacha kuwakejiri.

     
  • Date: Sat May 17, 01:51:00 PM EAT, Anonymous Anonymous

    Basi samahani, nafuta kauli yangu. sirudii tena.

     
  • Date: Sat May 17, 02:50:00 PM EAT, Anonymous Anonymous

    Sasa jina halisi la mtoa maoni wa kwanza ni Pimbi, Kima au Panya? Maana kila mtu kamwita kivyake, duh

     
   
 
Copyright 2006 © MAGGID MJENGWA. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu