GAZETI LA UCHAMBUZI MAKINI LENYE KUIHUSU NA KUIGUSA JAMII. NI GAZETI LA KILA WIKI. LITAANZA KUONEKANA MITAANI JUMANNE, MACHI 31, 2009. USIKOSE NAKALA YAKO!
Tuesday, November 06, 2007
Binti Mfalme! Violet Mzindakaya
Binti wa Mzee Chrisant Mzindakaya. Naye ameshinda U- NEC. Violet ni Mtangazaji wa redio ya Chama, redio Uhuru.
 
©Maggid | Date:6.11.07 | Permalink| | Send To Your Friend |


Comment: 7


  • Date: Tue Nov 06, 11:50:00 AM EAT, Anonymous anon

    naona mzee mzindakaya amerithisha mikoba kwa huyu binti wake!

    basi atasota na uNEC wake mpaka azeeke kama dad!ndiyo CCM ilivyo!

     
  • Date: Tue Nov 06, 12:29:00 PM EAT, Anonymous Maisha Haya...

    ZE UNAITEDI STATES OF TZ.... Zawadi Kawawa,Nape Nnauye,Violet Mzindakaaaayaaaa,Rizywaini Kiwete... list ni ndeeefuuuu...
    YANGU MIMACHO!!!

     
  • Date: Tue Nov 06, 02:37:00 PM EAT, Anonymous mjumbe

    watakuja kuingiza mpaka ukoo mzima,utakuja kuamini maana sasa kila mjumbe wa nec ana mtoto mjumbe sasa imekuwa siasa au familia demokrasia

     
  • Date: Tue Nov 06, 04:22:00 PM EAT, Anonymous Anonymous

    Zawadi Kawawa,Nape Nnauye,Violet Mzindakaya,Rizwaini Kiwete, Benno Malisa.

    Hivi ni aibu gani jamani hii yaani mmeshindwa kuficha uozo wenu mpaka mnampitisha hata Benno Malisa??

    Nomba ikumbukwe kuwa Rizwani na Benno ni marafiki wakubwa sana na wamesoma wote Chuo kikuu cha Dar es salaam, dogo kapewa chance ya kuwa makamu mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm, kumbuka Benno ni fress from school hajui lolote kwenye siasa, lakini kapachikwa na sasa ndo huyoo kaingia kwenye Nec haya 2010 utasikia ni Mbunge na usishangae ukaambiwa Benno ni waziri au Naibu waziri. doh

    any way tutafika tu

     
  • Date: Tue Nov 06, 05:30:00 PM EAT, Anonymous Anonymous

    Naunga mkono alichosema Msekwa.Ni vizuri Chama kianze kuajiri au kuchukua watoto wenye akili sana toka vyuo vikuu ndani ndani na nje ya nchi na kuwa-groom kwenye chama.Vinginevyo nchi itaishia tu kuongozwa na watoto wa viongozi na makada tu karne na karne ambao sina uhakika kama wengi wao IQ yao iko juu sana na kama wana stamina za kutosha kuhimili mikikimikiki ya mapambano ya pinzani kali na changamoto kali za kisiasa kwa hoja kali za upeo mkubwa wa juu sana.Sina uhakika

    Naona Chama kama CHADEMA kimeanza kulenga wasomi wenye upeo na kuwagroom,CCM ikiendekeza watoto wa vigogo isishangae kukaukiwa hoja mbeleni na kutafuta maji ya kunywa kwa kukosa cha kujibu.

    CCM iskilize ushauri wa MSEKWA.Anzeni kutafuta watu wenye akili hasa toka vyuoni waingie na muwape nafasi ndani ya chama.

    Kama hawataki kugombea nafasi wekeni nafasi za wajumbe wa kuteuliwa.Wateueni wapeni madaraka waingizeni hadi NEC kwa kuteuliwa ikibidi.Sababu katika siasa watu wazuri mara ingine huwa hawapendi kugombea kwa kura lakini ukiwateua ukawaingiza utawaona ubora wao.

    Ushindi huu nautazama kwa jicho tofauti mfano kundi la vijana walioingia NEC washindi wengi wanatoka Dar es salaam,wilaya ya Kinondoni sijui ni bahati mbaya au ni nini ? Na wengi walioteuliwa kugombea katika kundi hili pia walitoka wilaya ya Kinondoni!!!! Kimshikamano kitaifa ni sawa kuteua wengi toka wilaya moja tu kugombea kwenye chombo kikuu kama NEC????

    Wataalamu wa tafiti za kisiasa mnaweza saidia hili!

    koloboi@yahoo.com

     
  • Date: Tue Nov 06, 10:28:00 PM EAT, Anonymous Mkereketwa

    Lazima turithishe wanetu manake hatujui ya kesho.

     
  • Date: Wed Nov 07, 04:21:00 PM EAT, Anonymous Anonymous

    duh! "violet" jina safi sana. k*mambegesi

     
   
 
Copyright 2006 © MAGGID MJENGWA. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu